Hadithi 40 za Imamu Nawawi - S Apk

Download Hadithi 40 za Imamu Nawawi - S Apk

4 / 5   people 12
Developer By
open_in_new K Technologies
Version
1.0
Size
13M
Requirment
4.1 and up
Category
Free
This content for Everyone

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili Download Hadithi 40 za Imamu Nawawi - S Apk in Apps Books & Reference

Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.

Download Hadithi 40 za Imamu Nawawi - S Apk

You Can Download Hadithi 40 za Imamu Nawawi - S Apk from this links :

android Download APK v1.0 Direct shop Get on Google Play update Versions valiables